UTI
(Urinary Tract Infection):
v Ugonjwa Hatari
unaoweza kuharibu FIGO na KIBOFU.
Maambukizi Katika Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya
magonjwa ambayo hayapewi msisitizo wa kutosha katika jamii licha ya kuwa wengi huathirika kwa ugonjwa huu bila kujua chanzo, tiba na kinga yake.
Ugonjwa huu huanza kuathiri mirija inayopitisha mkojo,
baadaye huenea katika kibofu na figo. Mgonjwa anaweza kupata ugonjwa sugu wa figo
na kupoteza maisha kama ugonjwa huu hautatibiwa mapema............