Tuesday, September 26, 2017

 Hypertension


·   Worldwide 1 billion people have chronic high blood pressure or hypertension.
·   Released in May 2007 in the U.S. at a briefing of healthcare professional and patient advocacy organizations in Washington, D.C., the report authors predict that in the U.S. and other developed nations, the number of adults with high blood pressure will increase from 333 million to 413 million by 2025.

Friday, September 22, 2017

  • Cardiovascular Disease

1. Atherosclerosis

  • Facts

  • CVDs are the number 1 cause of death globally: more people die annually from CVDs than from any other cause.

  • An estimated 17.7 million people died from CVDs in 2015, representing 31% of all global deaths. Of these deaths, an estimated 7.4 million were due to coronary heart disease and 6.7 million were due to stroke .
  • Over three quarters of CVD deaths take place in low- and middle-income countries.

Cardiovascular diseases (CVDs)


Key facts

             CVDs are the number 1 cause of death globally: more people die annually from CVDs than from any other cause.

  • An estimated 17.7 million people died from CVDs in 2015, representing 31% of all global deaths. Of these deaths, an estimated 7.4 million were due to coronary heart disease and 6.7 million were due to stroke .
  • Over three quarters of CVD deaths take place in low- and middle-income countries.

  • Out of the 17 million premature deaths (under the age of 70) due to noncommunicable diseases in 2015, 82% are in low- and middle-income countries, and 37% are caused by CVDs.

Wednesday, August 9, 2017

UGONJWA WA UTI


UTI (Urinary Tract Infection):


v  Ugonjwa Hatari unaoweza kuharibu FIGO na KIBOFU.



Maambukizi Katika Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya magonjwa ambayo hayapewi msisitizo wa kutosha katika jamii licha ya kuwa wengi huathirika kwa ugonjwa huu bila kujua chanzo, tiba na kinga yake.

Ugonjwa huu huanza kuathiri mirija inayopitisha mkojo, baadaye huenea katika kibofu na figo.  Mgonjwa anaweza kupata ugonjwa sugu wa figo na kupoteza maisha kama ugonjwa huu hautatibiwa mapema............

Thursday, August 3, 2017

AFYA NI NINI?

Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu pia, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote.
Afya ya binadamu itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani chakulachenye virutubisho vyote, vikiwemo protiniwanga na fati (hiyo iwe katika asilimia ndogo sana).
Pia anatakiwa awe safi kimwili na kimazingira, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka.
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya Mwenyezi Mungu kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha dhambi: mara nyingi hizo (dhambi)  zinadhuru afya ya mwili pia.

Wednesday, August 2, 2017

MAKUNDI YA DAMU NA MAHUSIANO YAKE NA MAGONJWA

Kwa ufupi


Kama wengi wetu tunavyofahamu, damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne; A, B, AB, na O. Lakini pia makundi haya kutokana na aina ya mfumo kinga wa Rh.
Mfumo huo wa RH yamegawanyika zaidi katika makundi madogo kama vile kundi A (hasi), kundi A (chanya), kundi B (hasi), kundi B (chanya), kundi AB (hasi), kundi AB (chanya), kundi O (chanya) na kundi O (hasi). Binadamu yeyote lazima awe mojawapo ya makundi hayo.
Historia inaonyesha kuwa

AFYA YA DAMU

Kwa ufupi



Umeamka ghafla unajikuta ukiwa na maumivu makali ya mguu yasiyovumilika, unapovuta kumbukumbu unabaini kuwa hakupata ajali yoyote na wala hakuna jeraha lolote katika mguu huo.
Kama rangi ya mwili ni nyeupe au maji ya kunde unaweza kuona

Thursday, June 8, 2017

MTK TUTORIAL VIDEO

                                                       
    DOWNLOAD VIDEO HERE


           





MTK Engineering Mode APK Download

                                                                   
DOWNLOAD HERE
 MTK Download